Kama utakuwa unakumbuka mnamo September 21,2015 moja ya stori kubwa
iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya
Kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa
anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani
tangu 2014.
Wengi tunafahamu kwamba mwimbaji huyo aliachiwa huru baada ya Mahakama
kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo, sasa leo kajibu swali kuhusu
kurudiana na mkewe Flora Mbasha na kuyaongea haya:
'‘Mimi kurudiana na Flora Mbasha ni ngumu kwasababu yeye ndio aliniacha
mimi na yeye ndio aliandaa mazingira yake ya kuniacha mimi mpaka ikafika
wakati Familia yangu, viongozi mbalimbali wa Dini wakawa wanamshauri
lakini akutaka kurudiana na mimi kwahiyo naweza sema ni ngumu kurudiana
na Flora’'
0 comments:
Post a Comment