Sunday 10 March 2024

Thursday 22 September 2022

HARMONIZE /KAJALA KIMENUKA

 



 

Baada ya watu kuwa na ukakasi juu ya kurejea kwa penzi la mastaa hawa wawili mmoja msanii wa muziki, Harmonize na mwingine msanii wa Bongo movie Kajala.

Kupitia akaunti zao za mitandao ya kijamii wameamua kuweka wazi juu ya penzi lao baada ya kurejea tena kwa mara ya pili.

Mwanamuziki huyo wa Bongo Fleva amerudiana na muigizaji huyo wa Bongo Movie baada ya hapo awali kuachana na kuamua kurudiana tena.


Sunday 10 September 2017

Monday 3 July 2017

Monday 6 February 2017

Wednesday 26 October 2016

Bonyeza hapa ushinde pesa